kama milioni 200 za Kitanzania kwenye Strip Club nyumbani kwao Philadelphia ikiwa ni siku chache kabla hajaanza kifungo chake cha ngani.
Meek Mill ameanza kutumikia kifungo chake hicho jumatano ya 2 March 2016 nyumbani kwake Philadelphia. Meek Mill alikuwa na msanii Future kwenye strip club hio na walikula bata refu na mashabiki wao.
Pati hii ilikuwa ya Future na Meek Mill alialikwa kuja kusema kwaheri na video hii inaonyesha Meek Mill akirusha pesa na kabla usiku haujaisha alitumia kama dola $75,000. Meek alipewa sharti la kuanza kifungo hicho March 1 na jaji atapitia kesi yake baada ya siku 90.
Hivi karibuni Nicki Minaj alithibitisha kuwa hajatengana na Meek Mill.
Cheki video hapa chini:-
Cheki video hapa chini:-
0 comments:
Post a Comment