Wednesday, 23 March 2016

[+VIDEO]EXCLUSIVE: Babu Tale kampeleka Chidi Benz Rehab… yafuatayo ni mambo ya kufahamu kutoka kwake

Babu Tale ni meneja wa kundi la Tiptop Connection na pia ni meneja wa Diamond Platnumz ambapo stori kubwa iliyomuweka kwenye headlines kuanzia March 21 2016 ni uamuzi wake wa kumsaidia rapper Chidi Benz aliyekiri kutumia dawa za kulevya, uamuzi huu umepigiwa makofi hata na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, tazama hii video hapa chini upate full details

0 comments:

Post a Comment