Hii video mpya ya Tyga ‘$ervin Dat Raww’ itazame hapa. Rapa Tyga ametoa video ya wimbo wake wa “$ervin Dat Raww,” kutoka kwenye mixtape ya Rawest Ni**a Alive mixtape. Wimbo wa “$ervin Dat Raww” unakuja baada ya video ya “I $mile, I Cry,” ambayoyupo mtoto wake King Cairo. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment