Basi la Princess Muro Laacha Njia na Kuingia Kwenye Kituo cha Mabasi ya Mwendo Kasi Basi la kampuni ya Princess Muro lapata ajali baada ya kupoteza mwelekeo na kuingia kituo cha Magari ya Mwendo kasi Kimara jijini Dar es Salaam.Endelea kufuatilia taarifa zetu tutakujuza kwa kina taarifa hii. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment