UKAWA Wakubali Kurudi Bungeni Baada ya Mkutano na Viongozi wa Dini Vyama vya CHADEMA, NCCR MAGEUZI, CUF na ACT Wazalendo ambavyo vilisusia vikao vya bunge vimekubali kurejea bungeni baada ya mkutano wao na viongozi wa dini hapo jana. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment