Wednesday, 10 August 2016

Tundu Lissu Afunguka.. 'Hakuna Mtu Anayetaka Kumjaribu Rais Magufuli,

Baada ya Kutoka mahabusu kwa dhamani Tundu ameongea haya mbele ya waandishi wa Habari:

"Hakuna mtu anataka kumjaribu Rais Magufuli, hakuna anayetaka kukamatwa, mahabusu sio pazuri, niulizeni mimi." - Tundu Lissu
Toa maoni yako

0 comments:

Post a Comment