Tuesday, 17 May 2016

VIDEO: Utani wa Masanja akimpa Rais Magufuli Style mpya ya kutumbua Majipu


Mchekeshaji Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji siku zote haishiwagi vionjo vya maneno ya kufurahisha, iwe kuongea hata wakati mwingine tembea yaketu ni lazima ucheke.
Sasa leo nakukutanisha naye kwenye hii video hapa chini akimpa Rais Magufuli Style mpya ya kutumbua Majipu na mwisho kumuombea.

ULIIKOSA HII UTANI WA MASANJA, HII NDIO NJIA ANAYOSUBIRI ILI AGOMBEE TENA UBUNGE?

0 comments:

Post a Comment