Monday, 16 May 2016

Video: Mpenzi mpya wa Nuh Mziwanda alivyojitambulisha kwenye Birthday Party..


Usiku wa May 15 2016 Msanii kutoka kiwanda cha bongoflevani Nuh Mziwanda alifanya Birthday Party yake aliyoifanyia maeneo ya nyumbani kwake Savey Jiji Dar es salaam, Birthday Party ambayo ilihuhduriwa na mastaa mbalimbali na kumtambulisha mpenzi wake mpya kwenye tukio la kulishana keki, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa mkali huyu ataziona.

0 comments:

Post a Comment