
Mwigizaji Jackline Wolper wa bongo movie yuko mapenzini na mwimbaji wa bongoflevaHarmonize ambaye anatokea lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, Jacky na Harmo hawakusita kuonyesha mahaba yao kwenye birthday party ya mtoto wa Mose Iyobo na Aunty Ezekiel.
0 comments:
Post a Comment