Monday, 18 April 2016

News Alert:Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT Amatus Liyumba afariki dunia



Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.

0 comments:

Post a Comment