Friday, 15 April 2016

Mkazi wa Arusha ashtakiwa kwa kumuita Rais Magufuli hivi..


Mkazi wa mtaa wa Olasit Arusha aliyefahamika kwa jina la Isaac Habakuk Emily amefunguliwa mashtaka na upande wa Jamhuri baada ya kupatikana na kosa kuweka ujumbe wa uchochezi kwenye ukurasa wake wa Facebook huku ajkijua kufanya ni kosa kisheria. Isaac alipost ujumbe ambao ulionyesha kumtukana Rais wa Tanzania John Pombe magufuli uliosomeka
"HIZI SIASA ZA MAIGIZO, HALAFU MNAMFANANISHA HUYU BWEGE NA NYERERE WAPI BUANA"

0 comments:

Post a Comment