Madrid yaiadhibu Barca 2-1 Messi (kushoto) akipeana mkono na Ronaldo kabla ya mchezo huo kuanza. Benzema akifunga kiufundi. Ronaldo (katikati) akifunga bao la pili lililoizamisha Barcelona na kuifanya Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 2-1. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment