
Goli la kwanza la Valencia baada ya krosi ya Siqueira na Rakitic kumfungisha kipa wake Uwanja wa Nou Camp jana usiku.



Messi akishangilia bao lake la 500 baada ya kuifungia Barcelona bao la kufutia machozi.

Neymar akijaribu kuwatoka walinzi wa Valencia.

Sergio Roberto akipambana na Andre Gomes.

Kiungo wa Barca, Rakitic akiofanya shambulizi ya kulivaa lango la Valencia.

Messi akiwaza baada ya timu yake kupokea kichapo cha Bao 2-1 kutoka kwa Valencia, Nou Camp

Msimamo wa La-Liga.

Valencia wakishangilia bao.

Mina akipambana na Rakitic.

Kocha wa Barca, Luis Enrique akifuatilia mechi hiyo.

Utatu wa Barcelona Suarez, Neymar na Messi wakionekana kukata tamaa dakika za mwisho wa mpambano.

Valencia wakishangilia baada ya Mina kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 45.

Ilikuwa ni mechi ya nne kwa Barca kufungwa mfurulizo.
LCHA ya Lionel Messi kufunga bao lake la 500, Barcelona jana ilikubali kichapo kingine cha bao 2-1 kutoka kwa Valencia kwenye Uwanja wa Nou Camp. Ni miaka 13 sasa tangu Barca wafungwe na Valencia lakini jana hali ilikuwa tofauti.
Valencia ilianza kupata bao la kwanza dakika ya 26, baada ya Guilherme Siquiera kupiga krosi iliyompalaza Ivan Rakitic na kumfungisha kipa wake.
Santi Mina alionbgeza bao la pili kwa valencia dakika ya 45 kabla ya kwenda mapumziko.
Messi alifunga bao la kufutia machozi baada ya kumalizia krosi ya Diego Alves.
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE:@shigongotz
0 comments:
Post a Comment