
March 31 2016 Taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU iliwafikisha Mahakamani Kisutu Dar es salaam Wabunge wa CCM Victor Mwambalaswa wa Lupa, Kangi Lugolawa Mwibara na Sadiq Murad wa Mvomero kwa kosa la kuomba rushwa ya milioni 30, hii hapa chini ni video ikiwaonyesha wakiwa Mahakamani…
0 comments:
Post a Comment