Thursday, 10 March 2016

[+AUDIO]Sababu za Nay wa Mitego Kutowadiss Diamond Platnumz na Alikiba kwenye ‘Shika adabu yako’ …?

.Nay wa Mitego ameulizwa kwanini hakuwadiss Diamond Platinumz na Alikiba kwenye nyimbo yake ya Shika adabu yako, je anaogopa team za wawili hao au?, haya ndio majibu ya Nay wa Mitego Nilijua watu wataongelea hili na hata ukiangalia kwenye comment utaona watu wanauliza mbona sija muimba rafiki yangu Diamond Platinumz  na ana skendo nyingi, sitaki kufanya kitu ambacho kila mtu anacho kichwani kwake‘>>>Nay wa Mitego
Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini…


0 comments:

Post a Comment